Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

'ROHO YANGU' YA RICH MAVOKO YAFANYA KWELI

$
0
0
Na Elizabeth John

WIMBO unaokwenda kwa jina la ‘Roho yangu’ ulioimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Richard Martin ‘Rich Mavoko’, umeanza kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio kutokana na maudhui yaliypopo ndani yake.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Rich Mavoko alisema anawashukuru wapenzi wa kazi zake kwa kuipokea vizuri kazi hiyo na sasa anatarajia kuachia video ya kazi hiyo.


“Nawashukuru sana wapenzi wa kazi zangu kwa kunipokea vizuri, kwasasa nipo katika mchakato wa kuanza kushuti picha za video kwaajili ya kazi hiyo hivyo wakae mkao wa kula,” alisema.

Ric Mavoko aliwataka wapenzi wake wakae mkao wa kula kwaajili ya kazi mpya ambazo amewaandalia.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>