Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)alipokuwa akizungumza na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini huko Skuli ya Micheweni Wilaya ya Micheweni Pemba,(kutoka kushoto)Mama Mwanamwema Shein,na Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mberwa Hamadi Mberwa, (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
↧