Licha ya Serikali kutumia pesa nyingi za kodi ya wananchi kujenga stendi hii ya Segera wilayani Handeni mkoani Tanga lakini askari wa usalama barabarani walioko eneo hilo wameshindwa kusimamia sheria na sasa mabasi hayo yamekuwa yakipakia na kushusha abiria barabarani jambo ambalo ni kinyume na pia linachangia Halmashauri hiyo kukosa mapato. (Picha na Berensi Alikadi)
↧