Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

WABUNGE WATEMBELEA KIWANDA CHA TPCC

$
0
0
 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya saruji ya Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC), Bw. Pascal Lesoinne (wa pili kushoto) akieleza jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara walipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo kilichopo Wazo Hill jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Bw. Mahmoud Mgimwa. (Na Mpiga Picha wetu)
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya saruji ya Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC), Bw. Pascal Lesoinne (aliyesimama) akieleza jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara walipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo kilichopo Wazo Hill jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Bw. Mahmoud Mgimwa. 
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya saruji ya Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC), Bw. Pascal Lesoinne (katikati) akieleza jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara walipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo kilichopo Wazo Hill jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>