Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

VIONGOZI WA CHADEMA WASHIKILIWA NA POLISI MKOANI IRINGA

$
0
0
FREEMAN MBOWE

TUNDU LISSU
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa linamshikilia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kwa madai kukiuka taratibu za mikutano ya hadhara na kuashiria uvunjifu wa amani katika mkutano wa mkutano wa hadhara wa Maraza ya Wazi ya Rasimu ya katiba mpya, ulofanyika kwenye Ukumbi wa Mwembe Togwa mjini Iringa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>