Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dk. Tulia Mwansasu akisalimiana wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Loleza jijini Mbeya alipofanya zaira katika shule aliyosoma kati ya mwaka 1991-1994. (Picha Kenneth Ngelesi)
Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Mwansasu (wa pili kulia) akiwa ameongozana na Mkuu wa Shule ya Sekonadari ya wasichana ya Loleza, Emily Fwambo alipofanya ziara shule hapo. Wa kwanza kushoto ni Dada Mkuu wa shule hiyo, Lightnes Makuza na Ofisa wa Elimu jiji la Mbeya, Lydia Herbert.
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dk. Tulia Mwansasu akisalimia na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya wasichana ya Loleza jijini Mbeya alipofanya zaira shule hapo. (Picha Kenneth Ngelesi)