Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein wakionesha ilani ya Uchaguzi ya CCM leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais mbele ya umati mkubwa sana katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja. (Picha na OMR)
Rais Kikwete akizungumza katika uzinduzi wa kampeni za urais Zanzibar.
Dk. Shein akizungumza katika uzinduzi huo.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akizungumza katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Zanzibar.
Picha ya pamoja.
Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na rais mstaafu wa Zanzibar, Abeid Aman Karume.