Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig.Gen, Mbazi Msuya akisisitiza umuhimu wa Mpango wa Kujiandaa na kukabili maafa kwa wilaya ya Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro wakati wa Uzinduzi wa mpango huo leo tarehe 3 Septemba, 2015.
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Noel Kazimoto akikabidhi mpango wa Kujiandaa na kukabili maafa wilayani Mvomero kwa Katibu Tawala wilaya ya Mvomero, Veronica Kinyemi wakati wa Uzinduzi wa mpango huo leo tarehe 3 Septemba, 2015, anayeshuhudia ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig.Gen, Mbazi Msuya.