Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zest International, Salum Awadh akionyesha Tablet wakati wa uzinduzi wa aina mpya za simu uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja wa Kampuni ya Jumia, Michael Ryoba na Meneja Maendeleo ya Biashara, Rajab Smith. (Picha na Francis Dande).
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zest International, Salum Awadh akionyesha simu aina ya 7 inayouzwa kwa mobile ambayo inainternet pamoja na Whatsap T
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zest International, Salum Awadh akionyesha simu ya kisasa aina ya 7 Mobile ambayo inahuduma ya Internet pamoja na Whatsap.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zest International, Salum Awadh akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zest International, Salum Awadh akionyesha Tablet ambayo inauzwa kwa shilingi 165,000.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zest International, Salum Awadh akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.
Meneja wa Kampuni ya Jumia, Michael Ryoba akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.