Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiweka alama za vidole katika mashine ya BVR wakati wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura jana ,wa pili kulia ni kamishina wa tume Prof Amone Chaligha. |
Mkazi wa Ludewa mjini akipigwa picha ya kitambulisho cha mpiga kura
kamishina wa tume Prof Amone Chalighaakihojiwa na wanahabari kulia ni mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akiwa na kitambulisho chake kipya cha kupigia kura.
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akikabidhiwa kitambulisho chake cha kupigia kura mara baada ya kumaliza zoezi la kujiandikisha lililochukua dakika 15.
Mbunge Filikunjombe akipigwa picha ya kitambulisho cha mpiga kura.
Kamishina wa tume Prof Amone Chalighakulia akionyesha alama za sahihi ambazo mtu akifoji sahihi katika eneo jingine kikiletwa kitambulisho hicho hubainika
Filikunjombe kushoto akikabidhiwa kitambulisho chake na muandikishaji kulia katikati ni kamishina wa tume Prof Amone Chaligha akimuelekeza alama maalum zilizopo katika kitambulisho hicho.
Wananchi Ludewa wakiwa katika foleni ya kujiandikisha.
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (kushoto) akiweka sahihi katika mashine ya kielektroniki za Biometric Voters Registration (BVR),wakati akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura juzi katika kituo cha shule ya msingi Ludewa mjini ,wa pili kulia anayeshuhudia ni kamishina wa tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) Prof Amone Chaligha. (Picha na Francis Godwin) |