Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

MJUMBE KAMATI YA USAJILI SIMBA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUMPIGA MTOTO WA MANJI

$
0
0
Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Musleh Al Rawah akiwa na Wakili wake Damas Ndumbaro katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam alipofikishwa mhakamani kwa tuhuma za kumjeruhi na kumzuru mtoto wa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Meheub Manji. (Picha na Loveness Bernard)
Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Musleh Al Rawah akiwa chini ya ulinzi wa askari Polisi wakati akipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumjeruhi na kumzuru Mtoto wa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Meheub Manji.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>