Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B, Dk. Getrude Lwakatare, akihubiri waumini wa kanisa hilo katika siku maalum ya kuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015 pamoja na kutakiana heri kwa waumini, kuliombea taifa amani katika chaguzi zinazotarajiwa kufanyika hivi karibuni. (Picha na Francis Dande)
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B, Dk. Getrude Lwakatare, akihubiri waumini wa kanisa hilo katika siku maalum ya kuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015.
Waumini wakisikiliza neno la mungu.
Waumini.