Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

UVCCM watakiwa kukabiliana na Ukawa kila kona ya nchi

$
0
0
Na Keneth Ngelesi

JUMUIYA ya Umoja  ya Umoja  wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, (UVCCM), umetakiwa kuingia mitaani na kupambana na umoja wa katiba nchini Ukawa kwani ndio saizi yao na kuwaachia wazee wa CCM kuendelea kutangaza ilani ya chama na utekelezaji wa sera kwa wananchi.

Rai hiyo imetolewa na katibu wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Ileje  mkoani Mbeya Luciano Mbossa wakati wa ufunguzi wa kikao cha baraza hilo Mkoa wa Mbeya kilicho keti katika ofisi cha hicho Mkoa.

Akiwa amepewa nafasi ya kutoa salamu Mbossa alisimama na kusema kuwa Ukawa ni kuminyeme cha utarabibu uliwewekwa wa kuundwa katiba mpya kitendo cha wajumbe hao kutoka nje ni kinyume cha utaribu na kwamba vijana hao wana kila sababu za kuingia mitaani na kupambana na ukawa kwani ndiyo saizi yao na  wazee.

‘Vijana UKAWA ni kinyeme cha utaratibu hivyo niwasii mnatakiwa kakabilia na hawa jamaa kwani ndiyo saizi yenu huku mkituacha sisi wazee tukiendlea kutekeleza sera za chama chetu na hamna sababu za kiawakimbia ‘alisema Mbossa

Aliongeza kuwa kila watakapo pita ukuwa vijana hao wanapaswa kupambana hao kwa kila  hali hata katika vikao harali na visivyo harali lengo akimanisha hata katika mauzungumzo ya ,mitaaani vijana haoa wanapaswa kukabiliana nao.

Aliongeza kuwa hivi sasa wanafanya vikoa harali na visivyo harali hivyo na nyie vijana hamna budi kula saahani moja kila wapo pita.

Wakati huo huo Mjumbe wa Bunge la katiba  Bashiru Madodi, aliwaonya vijana haoa kujiep[uesha kutumika na wanasisa wenye uchu wa urais  na kwamba tabia hiyo itaendelea kuna hatari kwa UVCCM kusambaratika hata kabla ya uchaguzi mkuu.

Madodi alisema kuwa uchaguzi huenda ukawa mgumu na kwamba   kama watakubali iendelee kuna  unauwezekano mkubwa wa jumuiya hiyo kuto fika hata mwezi umoja huo utakuwa umesha sambaratika na chanzo kikiwa wanasisa wanao saka urais.

Alisema kuwa zipo dalili kubwa ya baadhi ya wajumbe wa baraza hilo kuonyesha waziwazi juu ya kuonyesha kujikita katika kundi mtu  fulani ambaye ameshjaonyesha n ia ya kutaaka kuingia ikulu katika uchaguzi Mkuu mwakani.

Kwa upane wakea  Katibu wa Hamasa wa UVCCM Taifa, Paul Makonda, alisema kuwa  tatizo kubwa linalo ukabili umoja huo kwa hivi  sasa ni uwepo wa wanachama wasiojitambua kisiasa ambao wamekubali kuwekwa mifukoni na wanaotaka kuingia Ikulu hali inayosababisha kukosa ujasiri katika matendo na kauli zao na hivyo kila wanalolifanya lazima waseme wametumwa na fulani.

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani Mbeya, Amani Kajuna, alisema vijana wanapaswa kusubiri maamuzi ya chama kuhusu mgombea atakayeipeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi ujao na kuunga mkono uamuzi huo badala ya kujiingiza kwenye makundi yanayohatarisha uhai wa umoja huo. 

Mjumbe wa NEC Zanzibar, Nadya Juma Mohammed, amewataka vijana kutambua kuwa harakati za uchaguzi zinazohatarisha uhai wa UVCCM ni tukio la kipindi kifupi hivyo wanapaswa kuwa makini na wasikubali kugawanywa na wanasiasa hao kwa sababu uhai wa umoja huo unahitaji nguvu yao ya pamoja kwa muda mrefu.

Akifungua mkutano huo, Mwenyekiti wa CCM mkoani Mbeya, Godfrey Zambi, aliwataka UVCCM kutokubali kununuliwa na wanasiasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ili kuepusha kupitisha wanasiasa wasiokuwa na uwezo.

Katika hatau nyinmgine Zambi alisema kuwa licha ya ukawa kutokla nchi ya Bunge la katiba lakaini anashangazwa na umauzi wa tume ya katibu kuvcha maoni ya wananchi  na kuamua kuchukua ya kwao na kwamba tume hiyo ilipotoka.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>