Wafanyakazi wa Access Benki wakitoa maelekezo kwa mteja aliyetembelea katika banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mteja akipata maelezo ya Kina kutoka kwa wafanyakazi wa Access Bank katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni ya Channel 10, Meshack akiongea na wafanyazi wa Access Bank ili kuelezea bidhaa na huduma wanazozitoa katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni ya Channel 10, David Ramadhani (kushoto) akiendelea kufanya mahojiano na ofisa Huduma za Utoaji wa Mikopo, Mary (katikati). Pembeni ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa Access Bank, Muganyizi Bisheko.
Wafanyakazi wa Acces Benki wakipata pozi mbele ya kamera ya Kajunason Blog.