Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 0

$
0
0
MAXIMO AANZA MAZOEZI YANGA KWA KISHINDO
 Wachazaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam. Katikati ni mchezaji mpya kutoka Brazil, Andrey Coutinho.
 Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo akiwa na kocha msaidizi wa timu hiyo, Lenardo Neiva.
 Wachezaji wa Yanga wakiomba dua wakati wa mazoezi ya timu hiyo.

Kocha msaidizi wa Yanga, Lenardo Neiva akitoa maerlekezo kwa wachezaji wakati wa mazoezi.
Mazoezi mepesi.
Wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi.
Mazoezi ya viungo.
Lenardo Neiva (kushoto) akitoa maelekezo.
Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo akimpa maelezo mshambuliaji, Jerry Tegete. 
Dua kabla ya mazoezi.
Maandalizi ya Ligi Kuu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>