Mtoto wa miaka tisa (9) Idda Baitwa (kulia) akiwa na wenzake wakianza safari ya kuweka rekodi ya kupanda Mlima Kilimanjaro akiwa na umri mdogo zaidi huku akitumia njia ya Umbwe ambayo inaaminika kuwa ngumu zaidi kwa watalii wakati wa kupanda mlima huo. (Na Dixon Busagaga)