Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 1

$
0
0
Rais Kikwete awajulia hali Mzee Hashim Mbita na Mbunge Donald Max
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mbunge wa Geita Donald Max aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo jioni.Rais Kikwete akiwa hospitalini hapo alimjulia hali pia Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa hospitalini hapo. (Picha na Freddy Maro)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles