Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 7

$
0
0
Mashindano ya kumtafuta mwanaume aliyejengeka kimisuli kufanyika Dar
 Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya kutunisha misuli kushoto ni Robert Samson, Noah Sichembe na Muhammed Nauman ambao ni watunisha misuli watakaoshiriki katika shindano la kumtafuta mwanaume aliyejengeka kimisuli zaidi yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi huu. Mashindano hayo yameandaliwa na kituo cha mazoezi cha Tanzaned Fitness Studio,iliyoko  Gymkhana, Dar es Salaam.
  Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya kutunisha misuli kushoto ni Robert Samson, Noah Sichembe na Muhammed Nauman wakiwa katika stailitofauti za kutunisha misuli
 Mkurugenzi  Muhasisi wa mashindano hayo, Mohammed Alli  akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu Mashindano ya kumtafuta mwanaume aliyejengeka kimisuli zaidi yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi huu. Mashindano hayo yameandaliwa na kituo cha mazoezi cha Tanzaned Fitness Studio,iliyoko  Gymkhana, Dar es Salaam (kulia) Katibu  Fika Wilson (kushoto) Mfalme wa Nyimbo za Asili Costa Siboka





 Mfalme wa Nyimbo za Asili Costa Siboka akizungumza na waandishi wa habari.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>