Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 3

$
0
0
KUTOKA BUNGE LA BAJETI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa  Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani, bungeni mjini Dodoma May 7, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Mke   Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma May 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa .   Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema nchimbi. 
   Spika wa Bunge,Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo waTaifa kabla ya shughuli za Bunge.
 Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma.
 Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa akiapa Buneni mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma.  
 Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni Mjini Dodoma.
 Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiapa, Bungeni Mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma.  

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>