Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 8

$
0
0
KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA
 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba James Mbatia (kushoto), Mohamed Raza( wa pili kushoto) , Profesa Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) na Freeman Mbowe(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.
 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akisalimia wajumbe wa Bunge hilo  mara baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma.
Baadhi wa wajumbe wa Bunge la Katiba wakitoka ukumbini baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma. Picha na Bunge Maalum la Katiba -Dodoma.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>