Mvuazinazoendeleakunyeshazimesababishakukwamakamudakwa safari zandanizandegekatikabaadhiyaviwanjavyandani.
Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano washirika la Fastjet, Lucy Mbogoro, baadhiya safari za ndege zilikwama kwa mudajuzi,
kutokana na hali ya hewa iliyosababisha safari hizokusitishwakwamudakwasababuzakiusalama.
Mbogoro alisema kwamba katika safari hizo, walioathirika zaidini wale waliokuwa wakisafiri kati ya Kilimanjaro na Dar es Salaam na Kilimanjaro ambapo safari hiyo ililazimika kufutwa juzi,
hivyo kuombaradhikwausumbufuuliowapatawatejawaowote.
Alisemahaliyahewailikuwambayakutokananamvuakubwananjiazandegekatikaviwanjakujaamaji,
hivyokulazimikakusitishanahatakuahirishakwamudabaadhiya safari.
“Kutokananahalihiyowatejawengiwandegezetuwaliokuwawakisafirihasakatiya Dar es Salaam na Kilimanjaro walikwama.
Hatahivyokutokuwepokwamawasilianoyamojakwamojakatiyetunaabiriakuhusutatizohilonakusababishawengikufikabilakujuamabadilikoyaliyojitokeza, tunaombaradhikwahilo,” alisema.
Alielezakwambahatahivyo safari hizo zimeendelea kama ilivyopangwa jana, ambapo wasafiri wa liokwamawalipatiwahudumanakusafirishwakamailivyopangwa.