Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Adebayor anayechezea Tottenham Hotspur (kulia), akipiga ‘tik tak’ wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka ya Uingereza uliofanyika juzi kwenye Uwanja wa White Hart Lane jijini London. Arsenal ilishinda bao 1-0. (Picha na Daily Mail)
Beki wa Tottenham, Jan Vertonghen akimzuia Rosicky.
Mwamuzi wa mchezo kati ya Arsenal na Tottenham Hotspur, Mike Dean akimuonesha kadi ya njano mchezaji wa Tottenham, Nacer Chadli baada ya kumchezea vibaya, Rosicky.
Benki wa Tottenham, Jan Vertonghen akiwania mpira huku mchezaji wa Arsenal, Santi Cazorla akiwa juu. ![]()

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Adebayor anayechezea Tottenham Hotspur akimiliki mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka ya Uingereza.