$ 0 0 MGIMWA ABEBWA JUU JUU BAADA YA KUSHINDA KWA KISHINDO KALENGAGodfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wanachama na wapenzi wa CCM baada ya matokeo kuonyesha ameshinda kwa kishindo Kalenga. (Picha na Adam Mzee)