Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 0

$
0
0
DC IGUNGA AKAGUA MASHAMBA YA MFAO
 Mkuu wa  Wilaya  ya Igunga Elibariki Kingu (kushoto), akizungumza na vijana  wa kikundi cha  Isunda Songambele katika kijiji cha Bukama wilayanihumo kabla ya kuhutubia  mkutano wa hadhara kuwahamasisha wananchikujiunga na mfuko wa huduma ya afya ya jamii(CHF), kikundi cha IsundaSongambele kinajishughulisha na kilimo. (Picha na Abdalah Khamis)
 Mkuu wa wilaya ya Igunga Elibariki Kingu akiwaongoza wananchi wakijiji cha Bukama kuapa juu ya kuweka ahadi ya kujiunga na mfuko wa Afya ya Huduma za Jamii (CHF), kwa ajili ya kupata matibabu katikakipindi cha mwaka mzima.
DC Kingu akikagua shamba la pamba la mmoja wa wanakikundi cha Isunda Songambele katika Kijiji cha Bukama.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles