Mkuu wa Wilaya ya Igunga Elibariki Kingu akiwa katika ukaguzi wamashamba ya Pamba mara baada ya kuhamasisha wananchi wajiunge na mfuko wa huduma ya afya ya jamii (CHF), katika kijiji cha Mwamashimba Tarafa ya Igurubi mkoani Tabora juzi. (Picha na Abdallah Khamisi)