Jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazauraukiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ukitokea nchini India ambako alikuwa akipata matibabu katika Hospitali ya Chennai Cancer Institute kabla ya mauti kumfika.