$ 0 0 UBOVU WA BARABARA KATIKA JIJI LA MBEYA, WAHUSIKA MKO WAPI?UBOVU wa barabara nyingi katika jiji la Mbeya kunachangia kukwamwa kwa vyombo vingi vya usafiri, hapo bajaji ilikwama maeneo ya Kata ya Ilemi na wasamaria wema walioamua kuinasua. (Picha Na Christopher Nyenyembe, Mbeya)