Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Luigi Scotto,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Luigi Scotto,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.