Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (J.W.T.Z) litapokea ugeni wa Meli Vita kutoka Jamhuri ya watu wa China tarehe 29 Desemba 2013 katika Bandari ya Dar es salaam na Meli hizo zitaondoka tarehe 01 Januari 2014 kurudi nchini China.
Aidha, Waandishi wa Habari wanakaribishwa katika mapokezi hayo mnamo Desemba 29, 2013 saa 3:00 asubuhi ili kufanya Coverage katika ugani huo wa pekee.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa mawasiliano: 0783 - 309963