Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 0

$
0
0
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMUAGA BALOZI MPYA NCHINI NIGERIA OLE NJOLAY
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Balozi mpya nchini Nigeria, Ole Njolay, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kumuaga akielekea kuanza kazi rasmi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi mpya nchini Nigeria, Ole Njolay, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kumuaga akielekea kuanza kazi rasmi. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>