Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Rais mpya wa Misri Mhe Abdel Fattah Al-Sisi mjini Malabo, Equatorial Guinea, pembeni ya Mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika. PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais mpya wa Misri Mhe Abdel Fattah Al-Sisi.